ChuoKikuuchaTaalumazaKimataifachaShanghai(SISU)kiliasisiwakatikamwakawa1949,wakatiwotekinazingatiakukuzautu,ubunifu,mawazoyakimataifa,uwezowakutatuamatatizopamojanawenginenaelimuyalughazakigenikwawanafunzi.Madhumuniyetunikuwaelimishawanafunziilikuwawezeshakuishikamaraiawanaowajibika.